Bongo-Flix ni tovuti inayolenga kukuleta burudani ya filamu zilizotafsiriwa kwa Kiswahili kwa njia halali na nafuu.
Tunachanganya utamaduni wa Afrika Mashariki na sinema za kimataifa kwa tafsiri za kuvutia.